Luke 13:23
Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana, ni watu wachache tu watakaookolewa?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said one unto him, Lord, are there few that be saved? And he said unto them,
In Context
22Yesu akapita katika miji na vijiji, akifundisha wakati alisafiri kwenda Yerusalemu.
Cross References
Matthew 19:25Wanafunzi wake waliposikia haya, walishangaa sana na kuuliza, “Ni nani basi awezaye kuokoka?”
Matthew 22:14“Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.” 1 Kulipa Kodi Kwa Kaisari (Marko 12:13-17; Luka 20:20-26)
Mark 13:4“Tafadhali tuambie, mambo haya yatatukia lini? Nayo dalili ya kuwa hayo yote yanakaribia kutimia itakuwa gani?”
Luke 21:7Wakamuuliza, “Mwalimu, mambo haya yatatukia lini? Ni dalili gani itaonyesha kwamba yanakaribia kutendeka?”
Acts 1:7Yesu akawaambia, “Si juu yenu kujua nyakati na majira ambayo Baba ameyaweka katika mamlaka yake mwenyewe.