Luke 13:35
Tazama nyumba yenu imeachwa ukiwa. Ninawaambia, hamtaniona tena mpaka wakati ule mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 26:31Nitaifanya miji yenu kuwa magofu, na kuharibu mahali patakatifu penu pa kuabudia, nami sitapendezwa na harufu nzuri ya sadaka zenu.
Psalms 118:26Heri yule ajaye kwa jina la Bwana. 2 Kutoka nyumba ya Bwana tunakubariki. 1
Isaiah 5:5Sasa nitawaambia lile nitakalolitendea 2 shamba langu la mizabibu: 1 Nitaondoa uzio wake, 2 nalo litaharibiwa, 1 nitabomoa ukuta wake, 2 nalo litakanyagwa. 1
Isaiah 52:7Tazama jinsi miguu ya wale waletao habari njema 2 ilivyo mizuri juu ya milima, 1 wale wanaotangaza amani, 2 wanaoleta habari njema, 2 wanaotangaza wokovu, 1 wauambiao Sayuni, 2 “Mungu wako anatawala!” 1
Jeremiah 22:5Lakini kama hutayatii maagizo haya, asema Bwana, ninaapa kwa nafsi yangu kwamba jumba hili litakuwa gofu.’ ”
Hosea 3:4Kwa maana Waisraeli wataishi siku nyingi bila kuwa na mfalme wala mkuu, bila kuwa na dhabihu wala mawe matakatifu, bila kisibau wala sanamu.