bible.software › Luke › Luke 14 › Luke 14:8
Luke 14:8
“Mtu akikualika arusini, usikae mahali pa mgeni wa heshima kwa kuwa inawezekana amealikwa mtu mheshimiwa kuliko wewe.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When thou art bidden of any man to a wedding, sit not down in the highest room; lest a more honourable man than thou be bidden of him;
In Context
7Alipoona jinsi wageni walivyokuwa wanachagua mahali pa heshima wakati wa kula, akawaambia mfano huu:
9Kama mkifanya hivyo yule aliyewaalika ninyi wawili atakuja na kukuambia, ‘Mpishe huyu mtu kiti chako.’ Ndipo kwa aibu utalazimika kukaa katika nafasi ya chini kabisa.
Read all of Luke 14
Cross References
Proverbs 25:6Usijikweze mwenyewe mbele ya mfalme, 2 wala usidai nafasi miongoni mwa watu wakuu; 1
This Verse In Other Editions
Study Luke 14:8