Luka 15:16
Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa chochote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 30:4Katika vichaka walikusanya mimea ya chumvi, 2 nacho chakula chao kilikuwa mizizi ya mti wa mfagio. 1
Psalms 142:4Tazama kuume kwangu na uone, 2 hakuna hata mmoja anayejihusisha nami. 1 Sina kimbilio, 2 hakuna anayejali maisha yangu. 1
Isaiah 55:2Kwa nini kutumia fedha kwa kitu ambacho si chakula, 2 na kutaabikia kitu kisichoshibisha? 1 Sikilizeni, nisikilizeni mimi na mle kilicho kizuri, 2 nazo nafsi zenu zitafurahia utajiri wa unono. 1
Lamentations 4:5Wale waliokula vyakula vya kifahari 2 ni maskini barabarani. 1 Wale waliokuzwa wakivaa nguo za zambarau 2 sasa wanalalia majivu. 1
Jonah 2:2Akasema: 1 “Katika shida yangu nalimwita Bwana, 2 naye akanijibu. 1 Kutoka kina cha kaburi + 2:2 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. niliomba msaada, 2 nawe ukasikiliza kilio changu. 1