bible.software › Luka › Luka 15 › Luka 15:26
Luka 15:26
Akamwita mmoja wa watumishi na kumuuliza, ‘Kuna nini?’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he called one of the servants, and asked what these things meant.
In Context
25“Wakati huo, yule mwana mkubwa alikuwa shambani. Alipokaribia nyumbani, akasikia sauti ya nyimbo na watu wakicheza.
27Akamwambia, ‘Ndugu yako amekuja, naye baba yako amemchinjia ndama aliyenona kwa sababu mwanawe amerudi nyumbani akiwa salama na mzima.’
Read all of Luka 15
Cross References
Acts 2:12Wakiwa wameshangaa na kufadhaika wakaulizana, “Ni nini maana ya mambo haya?”
This Verse In Other Editions
Study Luka 15:26