Luka 15:29
Lakini yeye akamjibu baba yake, ‘Tazama! Miaka yote hii nimekutumikia na hata siku moja sijaacha kutii amri zako, lakini hujanipa hata mwana-mbuzi ili nifurahi na rafiki zangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
28“Yule mwana mkubwa akakasirika, akakataa kuingia ndani. Basi baba yake akatoka nje na kumsihi.
Cross References
Isaiah 58:2Kwa maana kila siku hunitafuta, 2 wanaonekana kutaka kujua njia zangu, 1 kana kwamba walikuwa taifa linalotenda lililo sawa, 2 na ambalo halijaziacha amri za Mungu wake. 1 Hutaka kwangu maamuzi ya haki, 2 nao hutamani Mungu awakaribie. 1
Zechariah 7:3kwa kuwauliza makuhani wa nyumba ya Bwana Mwenye Nguvu Zote na manabii, “Je, imempasa kuomboleza na kufunga katika mwezi wa tano, kama ambavyo nimekuwa nikifanya kwa miaka mingi?”
Malachi 3:14“Mmesema, ‘Ni bure kumtumikia Mungu. Tumepata faida gani kwa kushika maagizo yake na kwenda kama waombolezaji mbele za Bwana Mwenye Nguvu Zote?
Luke 15:7Nawaambieni, vivyo hivyo kutakuwa na furaha zaidi mbinguni kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu.” 1 Mfano Wa Sarafu Iliyopotea
Luke 18:9Yesu akatoa mfano huu kwa wale waliojiamini kuwa wao ni wenye haki na kuwadharau wengine:
Luke 18:20Unazijua amri: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako.’ ”