The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 15 › Luka 15:3

Luka 15:3

Ndipo Yesu akawaambia mfano huu:

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he spake this parable unto them, saying,

In Context

2Lakini Mafarisayo na walimu wa sheria wakanungʼunika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.”

4“Ikiwa mmoja wenu ana kondoo mia moja, naye akapoteza mmoja wao, je, hawaachi wale tisini na tisa nyikani na kwenda kumtafuta huyo aliyepotea mpaka ampate?

Read all of Luka 15

Cross References

Isaiah 65:19Nami nitaifurahia Yerusalemu 2 na kuwafurahia watu wangu; 1 sauti ya maombolezo na ya kilio 2 haitasikika humo tena. 1

Matthew 10:6Lakini afadhali mshike njia kuwaendea kondoo wa nyumba ya Israeli waliopotea.

John 21:16Yesu akamwambia tena, “Simoni, mwana wa Yohana, wanipenda?” Petro akamjibu, “Ndiyo Bwana, wewe unajua ya kuwa ninakupenda.” Yesu akamwambia, “Chunga kondoo zangu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 15:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 15:2Luka 15Luka 15:4 →