Luka 16:15
Yesu akawaambia, “Ninyi mnajionyesha kuwa wenye haki mbele za wanadamu, lakini Mungu anaijua mioyo yenu. Kwa maana vile vitu ambavyo wanadamu wanavithamini sana, kwa Mungu ni machukizo. 1 Sheria Na Ufalme Wa Mungu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
14Mafarisayo, waliokuwa wapenda fedha, waliyasikia hayo yote na wakamcheka kwa dharau.
Cross References
1 Chronicles 29:17Ninajua, Mungu wangu, kwamba wewe huujaribu moyo na unapendezwa na unyofu. Vitu hivi vyote nimetoa kwa hiari na kwa moyo mnyofu. Nami sasa nimeona kwa furaha jinsi watu wako walioko hapa kwa hiari yao walivyokutolea wewe.
Psalms 7:9Ee Mungu mwenye haki, 2 uchunguzaye mawazo na mioyo, 1 komesha ghasia za waovu 2 na ufanye wenye haki waishi kwa amani. 1
Psalms 49:13Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, 2 pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao. 1
Psalms 139:1Ee Bwana, umenichunguza 2 na kunijua. 1
Proverbs 20:6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, 2 bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? 1
Isaiah 1:10Sikieni neno la Bwana, 2 ninyi watawala wa Sodoma; 1 sikilizeni sheria ya Mungu wetu, 2 enyi watu wa Gomora! 1