The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 16 › Luke 16:25

Luke 16:25

“Lakini Abrahamu akamjibu, ‘Mwanangu, kumbuka kwamba wakati wa uhai wako ulipata mambo mazuri, lakini Lazaro alipata mambo mabaya. Lakini sasa anafarijiwa hapa na wewe uko katika maumivu makuu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But Abraham said, Son, remember that thou in thy lifetime receivedst thy good things, and likewise Lazarus evil things: but now he is comforted, and thou art tormented.

In Context

24Hivyo yule tajiri akamwita, ‘Baba Abrahamu, nihurumie na umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake ndani ya maji aupoze ulimi wangu, kwa sababu nina maumivu makuu kwenye moto huu.’

26Zaidi ya hayo, kati yetu na ninyi huko kumewekwa shimo kubwa, ili wale wanaotaka kutoka huku kuja huko wasiweze, wala mtu yeyote asiweze kuvuka kutoka huko kuja kwetu.’

Read all of Luke 16

Cross References

Deuteronomy 28:17Kapu lako na chombo chako cha kukandia kitalaaniwa.

Job 22:18Lakini ndiye alizijaza nyumba zao na vitu vizuri, 2 hivyo ninajitenga mbali na mashauri ya waovu. 1

Psalms 37:35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi 2 kama mwerezi wa Lebanoni, 1

Psalms 73:7Uovu hutoka katika mioyo yao iliyokufa ganzi, 2 majivuno maovu kutoka mioyoni mwao hauna kikomo. 1

Lamentations 1:7Katika siku za mateso yake na kutangatanga, 2 Yerusalemu hukumbuka hazina zote 2 ambazo zilikuwa zake siku za kale. 1 Wakati watu wake walipoanguka katika mikono ya adui, 2 hapakuwepo na yeyote wa kumsaidia. 1 Watesi wake walimtazama 2 na kumcheka katika maangamizi yake. 1

Daniel 5:30Usiku ule ule, Belshaza mfalme wa Wakaldayo akauawa,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 16:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 16:24Luke 16Luke 16:26 →