Luke 16:27
“Akasema, ‘Basi, nakuomba, umtume Lazaro aende nyumbani kwa baba yangu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then he said, I pray thee therefore, father, that thou wouldest send him to my father’s house:
In Context
28maana ninao ndugu watano. Awaonye, ili wasije nao wakafika mahali hapa pa mateso.’
Cross References
Job 21:21Kwani anajali nini kuhusu jamaa anayoiacha nyuma, 2 miezi yake aliyopangiwa ifikapo mwisho? 1
Psalms 17:14Ee Bwana, mkono wako uniokoe na watu wa jinsi hii, 2 kutokana na watu wa ulimwengu huu 2 ambao fungu lao liko katika maisha haya. 1 Na wapate adhabu ya kuwatosha. 2 Watoto wao na wapate zaidi ya hayo, 2 hukumu na iendelee kwa watoto wa watoto wao. 1
Psalms 49:13Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, 2 pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao. 1
Ecclesiastes 2:18Nikachukia kila kitu nilichokuwa nimetaabikia chini ya jua, kwa sababu ni lazima nimwachie yule ajaye baada yangu.