Luke 16:3
“Yule msimamizi akawaza moyoni mwake, ‘Nitafanya nini sasa? Bwana wangu ananiondoa katika kazi yangu. Sina nguvu za kulima, nami ninaona aibu kuombaomba.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Najua nitakalofanya ili nikiachishwa kazi yangu hapa, watu wanikaribishe nyumbani kwao.’
Cross References
Proverbs 13:4Mvivu hutamani sana na hapati kitu, 2 bali nafsi ya mwenye bidii 2 hutoshelezwa kikamilifu. 1
Proverbs 18:9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake 2 ni ndugu na yule anayeharibu. 1
Proverbs 20:4Mvivu halimi kwa majira; 2 kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama 2 lakini hapati chochote. 1
Proverbs 24:30Nilipita karibu na shamba la mvivu, 2 karibu na shamba la mizabibu la mtu asiye na akili, 1
Proverbs 27:23Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako 2 ya kondoo na mbuzi, 2 angalia kwa bidii ngʼombe zako. 1
Isaiah 10:3Mtafanya nini siku ya kutoa hesabu, 2 wakati maafa yatakapokuja kutoka mbali? 1 Mtamkimbilia nani awape msaada? 2 Mtaacha wapi mali zenu? 1