The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 18 › Luka 18:1

Luka 18:1

Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he spake a parable unto them to this end, that men ought always to pray, and not to faint;

In Context

2Akawaambia, “Katika mji mmoja alikuwepo hakimu ambaye hakumwogopa Mungu wala kumjali mtu.

Read all of Luka 18

Cross References

Genesis 32:24Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake na mtu mmoja akashikana naye mweleka mpaka mapambazuko.

Job 27:8Kwa maana mtu asiyemcha Mungu 2 analo tegemeo gani anapokatiliwa mbali, 2 Mungu anapouondoa uhai wake? 1

Psalms 55:16Lakini ninamwita Mungu, 2 naye Bwana huniokoa. 1

Psalms 86:3Ee Bwana, nihurumie mimi, 2 kwa maana ninakuita mchana kutwa. 1

Psalms 142:5Ee Bwana, nakulilia wewe, 2 nasema, “Wewe ni kimbilio langu, 2 fungu langu katika nchi ya walio hai.” 1

Jonah 2:7“Wakati uhai wangu ulipokuwa unatoka, 2 nilikukumbuka wewe, Bwana, 1 nayo maombi yangu yalikufikia wewe, 2 katika Hekalu lako takatifu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 18:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
Luka 18Luka 18:2 →