The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 18 › Luke 18:14

Luke 18:14

“Nawaambia, huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amehesabiwa haki mbele za Mungu zaidi ya yule Farisayo. Kwa maana yeyote ajikwezaye atashushwa, na yeyote ajishushaye atakwezwa.” 1 Yesu Awabariki Watoto Wadogo (Mathayo 19:13-15; Marko 10:13-16)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I tell you, this man went down to his house justified rather than the other: for every one that exalteth himself shall be abased; and he that humbleth himself shall be exalted.

In Context

13“Lakini yule mtoza ushuru akasimama mbali, wala hakuthubutu hata kuinua uso wake kutazama mbinguni, bali alijipigapiga kifuani na kusema: ‘Mungu, nihurumie, mimi mwenye dhambi.’

15Pia, watu walikuwa wakimletea Yesu watoto wachanga ili awaguse. Wanafunzi wake walipoona hivyo, wakawakemea.

Read all of Luke 18

Cross References

Exodus 18:11Sasa najua ya kuwa Bwana ni mkuu kuliko miungu mingine yote, kwa kuwa amewatendea hivi wale waliowatenda Israeli kwa ujeuri.”

Job 9:20Hata kama sikuwa na hatia, kinywa changu kingenihukumu; 2 kama sikuwa na kosa, kingenitangaza kuwa mwenye hatia. 1

Job 25:4Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 2 Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi? 1

Psalms 138:6Ingawa Bwana yuko juu, 2 humwangalia mnyonge, 1 bali mwenye kiburi 2 yeye anamjua kutokea mbali. 1

Proverbs 3:34Huwadhihaki wale wanaodhihaki, 2 lakini huwapa neema wale wanyenyekevu. 1

Proverbs 16:18Kiburi hutangulia maangamizi, 2 roho ya majivuno hutangulia maanguko. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 18:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 18:13Luke 18Luke 18:15 →