Luka 18:36
Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And hearing the multitude pass by, he asked what it meant.
In Context
35Yesu alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada.
37Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.”
Cross References
Matthew 21:10Yesu alipoingia Yerusalemu, mji wote ukataharuki, watu wakauliza, “Huyu ni nani?”