Luke 18:8
Ninawaambia, atawapatia haki upesi. Lakini je, Mwana wa Adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?” 1 Mfano Wa Farisayo Na Mtoza Ushuru
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Je, Mungu hatawatendea haki wateule wake wanaomlilia usiku na mchana? Je, atakawia kuwasaidia?
9Yesu akatoa mfano huu kwa wale waliojiamini kuwa wao ni wenye haki na kuwadharau wengine:
Cross References
Psalms 143:7Ee Bwana, unijibu haraka, 2 roho yangu inazimia. 1 Usinifiche uso wako, 2 ama sivyo nitafanana na wale washukao shimoni. 1
Matthew 24:24Kwa maana watatokea makristo wa uongo na manabii wa uongo, nao watafanya ishara kubwa na maajabu mengi ili kuwapotosha, ikiwezekana, hata wale wateule hasa.
1 Thessalonians 5:1Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia,
James 5:1Basi sikilizeni, ninyi matajiri, lieni na kuomboleza kwa ajili ya hali mbaya sana inayowajia.
2 Peter 3:8Lakini wapenzi, msisahau neno hili: kwamba kwa Bwana, siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.