Luke 19:18
“Wa pili naye akaja. Akasema, ‘Bwana, fedha yako imeleta faida mara tano zaidi.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the second came, saying, Lord, thy pound hath gained five pounds.
In Context
19“Bwana wake akajibu, ‘Nakupa mamlaka juu ya miji mitano.’
Cross References
Matthew 13:23Lakini ile mbegu iliyopandwa kwenye udongo mzuri ni yule mtu ambaye hulisikia neno na kulielewa. Naye hakika huzaa matunda, akizaa mara mia, au mara sitini, au mara thelathini ya mbegu iliyopandwa.” 1 Mfano Wa Magugu
Mark 4:20Wengine, kama mbegu iliyopandwa kwenye udongo mzuri, hulisikia lile neno, wakalipokea na kuzaa mazao. Wao huzaa mara thelathini, au mara sitini, au mara mia ya mbegu iliyopandwa.” 1 Mfano Wa Taa (Luka 8:16-18)