Luke 19:22
“Bwana wake akamjibu, ‘Nitakuhukumu kwa maneno yako mwenyewe, wewe mtumishi mwovu! Kama ulifahamu kwamba mimi ni mtu mgumu, nichukuaye mahali ambapo sikuweka kitu na kuvuna mahali ambapo sikupanda,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 1:16Kwa maana Daudi alikuwa amemwambia, “Damu yako iwe juu ya kichwa chako mwenyewe. Kinywa chako mwenyewe kimeshuhudia dhidi yako uliposema, ‘Nilimuua mpakwa mafuta wa Bwana.’ ” 1 Ombolezo La Daudi Kwa Ajili Ya Sauli Na Yonathani
Matthew 12:37Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.” 1 Ishara Ya Yona (Marko 8:11-12; Luka 11:29-32)
Matthew 25:26“Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua kwamba ninavuna mahali nisipopanda na kukusanya mahali nisipotawanya mbegu.