The Bible Software
bible.software › Luka › Luka 19 › Luka 19:27

Luka 19:27

Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ” 1 Yesu Aingia Yerusalemu Kwa Ushindi (Mathayo 21:1-11; Marko 11:1-11; Yohana 12:12-19)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But those mine enemies, which would not that I should reign over them, bring hither, and slay them before me.

In Context

26“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyangʼanywa.

28Baada ya Yesu kusema haya, alitangulia kupanda kwenda Yerusalemu.

Read all of Luka 19

Cross References

Numbers 14:36Hivyo watu wale ambao Mose alikuwa amewatuma kuipeleleza nchi, waliorudi na kuifanya jumuiya nzima kunungʼunika dhidi ya Mose kwa kueneza taarifa mbaya kuhusu hiyo nchi:

2 Samuel 23:7Yeyote agusaye miiba 2 hutumia chombo cha chuma 2 au mpini wa mkuki, 2 nayo huchomwa pale ilipo.” 1 Mashujaa Wa Daudi (1 Nyakati 11:10-41)

Psalms 2:9Utawatawala kwa fimbo ya chuma 2 na kuwavunjavunja kama chombo cha mfinyanzi.” 1

Psalms 69:22Meza iliyoandaliwa mbele yao na iwe mtego, 2 nayo iwe upatilizo na tanzi. 1

Isaiah 66:6Sikieni hizo ghasia kutoka mjini, 2 sikieni hizo kelele kutoka hekaluni! 1 Ni sauti ya Bwana ikiwalipa adui zake 2 yote wanayostahili. 1

Nahum 1:2Bwana ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi; 2 Bwana hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu. 1 Bwana hulipiza kisasi juu ya watesi wake, 2 naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 19:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 19:26Luka 19Luka 19:28 →