Luka 19:33
Walipokuwa wanamfungua yule mwana-punda, wenyewe wakawauliza, “Mbona mnamfungua huyo mwana-punda?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And as they were loosing the colt, the owners thereof said unto them, Why loose ye the colt?
In Context
32Wale waliotumwa wakaenda, wakakuta kila kitu kama vile Yesu alivyokuwa amewaambia.
34Wale wanafunzi wakajibu, “Bwana anamhitaji.”