Luke 19:4
Kwa hiyo akatangulia mbio mbele ya umati wa watu akapanda juu ya mkuyu ili amwone Yesu, kwa sababu angeipitia njia ile.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he ran before, and climbed up into a sycomore tree to see him: for he was to pass that way.
In Context
Cross References
1 Chronicles 27:28Baal-Hanani Mgederi ndiye alikuwa mwangalizi wa mashamba ya mfalme ya mizeituni na mikuyu katika tambarare za vilima vya magharibi. Yoashi alikuwa msimamizi wa ghala za mafuta ya zeituni.
Isaiah 9:10“Matofali yameanguka chini, 2 lakini tutajenga tena kwa mawe yaliyochongwa, 1 mitini imeangushwa, 2 lakini tutapanda mierezi badala yake.” 1
Luke 5:19Walipokuwa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ya umati wa watu, wakapanda juu ya paa, wakaondoa baadhi ya matofali, wakamteremsha yule mgonjwa kwa mkeka wake hadi katikati ya ule umati pale mbele ya Yesu.