Luke 19:46
Naye akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itakuwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa ‘pango la wanyangʼanyi.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
45Ndipo akaingia eneo la Hekalu, akaanza kuwafukuza wale waliokuwa wakiuza vitu humo.
Cross References
Psalms 93:5Ee Bwana, sheria zako ni imara; 2 utakatifu umepamba nyumba yako 2 pasipo mwisho.
Jeremiah 7:11Je, nyumba hii, iitwayo kwa Jina langu, imekuwa pango la wanyangʼanyi kwenu? Lakini nimekuwa nikiona yanayotendeka! asema Bwana.
Hosea 12:7Mfanyabiashara hutumia vipimo vya udanganyifu; 2 hupenda kupunja. 1