Luke 2:13
Ghafula pakawa na jeshi kubwa la mbinguni pamoja na huyo malaika wakimsifu Mungu wakisema, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And suddenly there was with the angel a multitude of the heavenly host praising God, and saying,
In Context
14“Atukuzwe Mungu juu mbinguni, 2 na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia.”
Cross References
Genesis 32:1Yakobo pia akaondoka akaenda zake, nao malaika wa Mungu wakakutana naye.
Job 38:7wakati nyota za asubuhi zilipoimba pamoja, 2 na malaika wote walipokuwa wakipiga kelele kwa furaha? 1
Psalms 103:20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, 2 ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, 2 ninyi mnaotii neno lake. 1
Isaiah 6:2Juu yake walikuwepo maserafi, kila mmoja alikuwa na mabawa sita: Kwa mabawa mawili walifunika nyuso zao, kwa mengine mawili walifunika miguu yao, na kwa mawili walikuwa wakiruka.
Daniel 7:10Mto wa moto ulikuwa unatiririka, 2 ukipita mbele yake. 1 Maelfu elfu wakamhudumia; 2 kumi elfu mara kumi elfu wakasimama mbele zake. 1 Mahakama ikakaa kuhukumu, 2 na vitabu vikafunguliwa.
Ephesians 3:10Ili sasa kwa njia ya Kanisa, hekima yote ya Mungu ipate kujulikana kwa watawala na wenye mamlaka katika ulimwengu wa roho,