The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 2 › Luke 2:32

Luke 2:32

nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa 2 na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A light to lighten the Gentiles, and the glory of thy people Israel.

In Context

31ulioweka tayari machoni pa watu wote, 1

33Naye Yosefu na mama yake mtoto wakastaajabu kwa yale yaliyokuwa yamesemwa kumhusu huyo mtoto.

Read all of Luke 2

Cross References

Isaiah 4:2Katika siku ile Tawi la Bwana litakuwa zuri na lenye utukufu, nalo tunda la nchi litakuwa fahari na utukufu wa wale Waisraeli watakaonusurika.

Isaiah 42:6“Mimi, Bwana, nimekuita katika haki; 2 nitakushika mkono wako. 1 Nitakulinda na kukufanya 2 kuwa Agano kwa ajili ya watu 2 na nuru kwa Mataifa, 1

Isaiah 49:6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1

Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1

Zechariah 2:5Mimi mwenyewe nitakuwa ukuta wa moto kuuzunguka,’ asema Bwana, ‘nami nitakuwa utukufu wake ndani yake.’

Luke 2:10Lakini malaika akawaambia: “Msiogope. Kwa maana tazama nawaletea habari njema za furaha itakayokuwa kwa watu wote.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 2:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 2:31Luke 2Luke 2:33 →