The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 20 › Luka 20:11

Luka 20:11

Akamtuma mtumishi mwingine, huyo naye wakampiga, wakamfanyia mambo ya aibu na kumfukuza.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And again he sent another servant: and they beat him also, and entreated him shamefully, and sent him away empty.

In Context

10Wakati wa mavuno ulipofika, akamtuma mtumishi wake kwa hao wapangaji ili wampe sehemu ya mavuno ya shamba la mizabibu. Lakini wale wakulima wakampiga, wakamfukuza mikono mitupu.

12Bado akamtuma na mwingine wa tatu, huyu pia wakamjeruhi na kumtupa nje ya shamba.

Read all of Luka 20

Cross References

Hosea 10:1Israeli alikuwa mzabibu uliostawi sana, 2 alijizalia matunda mwenyewe. 1 Kadiri matunda yake yalivyoongezeka, 2 alijenga madhabahu zaidi; 1 kadiri nchi yake ilivyostawi, 2 alipamba mawe yake ya ibada. 1

Acts 7:52Je, kuna nabii gani ambaye baba zenu hawakumtesa? Waliwaua wale waliotabiri habari za kuja kwake yule Mwenye Haki. Nanyi sasa mmekuwa wasaliti wake na wauaji.

Hebrews 11:36Wengine walidhihakiwa na kupigwa, hata walifungwa minyororo na kutiwa gerezani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 20:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 20:10Luka 20Luka 20:12 →