The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 20 › Luka 20:17

Luka 20:17

Lakini Yesu akawakazia macho, akasema, “Basi ni nini maana ya yale yaliyoandikwa: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi, 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni’?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he beheld them, and said, What is this then that is written, The stone which the builders rejected, the same is become the head of the corner?

In Context

16Atakuja na kuwaua hao wapangaji, na kuwapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.” Watu waliposikia hayo wakasema, “Mungu apishie mbali jambo hili lisitokee!”

18Kila mtu aangukaye juu ya jiwe hilo atavunjika vipande vipande, lakini yule litakayemwangukia atasagwa kabisa.”

Read all of Luka 20

Cross References

Isaiah 28:16Kwa hiyo hivi ndivyo Bwana Mwenyezi asemavyo: 1 “Tazama, ninaweka jiwe katika Sayuni, 2 jiwe lililojaribiwa, 1 jiwe la pembeni la thamani kwa ajili ya msingi thabiti. 2 Yeye atumainiye kamwe hatatiwa hofu. 1

Matthew 21:42Yesu akawaambia, “Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba: 1 “ ‘Jiwe walilolikataa waashi 2 limekuwa jiwe kuu la pembeni. 1 Bwana ndiye alitenda jambo hili, 2 nalo ni la ajabu machoni petu’?

Mark 10:23Yesu akatazama pande zote, akawaambia wanafunzi wake, “Itakuwa vigumu sana kwa wenye mali kuingia katika Ufalme wa Mungu!”

Luke 19:41Alipokaribia Yerusalemu na kuuona mji, aliulilia,

Luke 22:61Naye Bwana akageuka, akamtazama Petro. Ndipo Petro akakumbuka lile neno ambalo Bwana alimwambia: “Kabla jogoo hajawika leo, utanikana mara tatu.”

John 15:25Lakini hii ni kutimiza lile neno lililoandikwa kwenye Sheria kwamba, ‘Walinichukia pasipo sababu.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 20:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 20:16Luka 20Luka 20:18 →