Luke 20:19
Walimu wa sheria na viongozi wa makuhani wakatafuta njia ya kumkamata mara moja, kwa sababu walifahamu kwamba amesema mfano huo kwa ajili yao. Lakini waliwaogopa watu. 1 Kumlipa Kaisari Kodi (Mathayo 22:15-22; Marko 12:13-17)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 21:45Viongozi wa Makuhani na Mafarisayo waliposikia mifano ya Yesu, walitambua kuwa alikuwa akiwasema wao.
Mark 12:12Walipotambua kuwa amesema mfano huo kwa ajili yao, wakataka kumkamata, lakini wakaogopa ule umati wa watu. Wakamwacha, wakaondoka, wakaenda zao. 1 Swali Kuhusu Kulipa Kodi (Mathayo 22:15-22; Luka 20:20-26)
Luke 20:14“Lakini wale wapangaji walipomwona, wakasemezana wao kwa wao. Wakasema, ‘Huyu ndiye mrithi. Basi na tumuue ili urithi uwe wetu.’