Luka 20:29
Basi palikuwepo ndugu saba. Yule wa kwanza akaoa, akafa bila kuzaa mtoto.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
There were therefore seven brethren: and the first took a wife, and died without children.
In Context
30Kisha yule wa pili akamwoa huyo mjane, naye akafa bila mtoto,
Cross References
Jeremiah 22:30Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “Mwandike huyu mtu kama asiye na mtoto, 2 mtu ambaye hatafanikiwa maisha yake yote, 1 kwa maana hakuna mtoto wake atakayefanikiwa, 2 wala kukaa kwenye kiti cha enzi cha Daudi 2 wala kuendelea kutawala katika Yuda.”