Luke 20:32
Mwishowe, yule mwanamke naye akafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Last of all the woman died also.
In Context
33Sasa basi, siku ya ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?”
Cross References
Ecclesiastes 1:4Vizazi huja na vizazi hupita, 2 lakini dunia inadumu milele. 1
Hebrews 9:27Kama vile mwanadamu alivyowekewa kufa mara moja tu na baada ya kufa akabili hukumu,