Luka 20:36
Hawa hawawezi kufa tena, kwa maana wao ni kama malaika. Wao ni watoto wa Mungu, kwa sababu ni watoto wa ufufuo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Hosea 13:14“Nitawakomboa watu hawa kutoka nguvu za kaburi, 2 nitawakomboa kutoka mautini. 1 Yako wapi, ee mauti, mateso yako? 1 Uko wapi, ee kuzimu, uharibifu wako? 1 “Sitakuwa na huruma, 2
Matthew 22:30Wakati wa ufufuo, watu hawataoa wala kuolewa, bali watakuwa kama malaika wa mbinguni.
Romans 8:17Hivyo, ikiwa sisi ni watoto, basi tu warithi, warithi wa Mungu, warithio pamoja na Kristo, naam, tukiteswa pamoja naye tupate pia kutukuzwa pamoja naye. 1 Utukufu Ujao
1 Corinthians 15:42Hivyo ndivyo itakavyokuwa wakati wa ufufuo wa wafu. Ule mwili wa kuharibika uliopandwa, utafufuliwa usioharibika,
1 Corinthians 15:52ghafula, kufumba na kufumbua, parapanda ya mwisho itakapolia. Kwa kuwa parapanda italia, nao wafu watafufuliwa na miili isiyoharibika, nasi tutabadilishwa.
1 Thessalonians 4:13Lakini ndugu, hatutaki mkose kujua kuhusu wale waliolala mauti, ili msihuzunike kama watu wengine wasiokuwa na tumaini.