Luka 20:47
Wao hula nyumba za wajane, na ili waonekane kuwa wema, wanasali sala ndefu. Watu kama hawa watapata hukumu iliyo kuu sana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 7:6kama msipomwonea mgeni, yatima wala mjane, na kumwaga damu isiyo na hatia mahali hapa, nanyi kama msipofuata miungu mingine kwa madhara yenu wenyewe,
Ezekiel 33:31Watu wangu wanakujia, kama wafanyavyo, nao wanaketi mbele yako kama watu wangu na kusikiliza maneno yako, lakini hawayatendi. Kwa maana udanganyifu u katika midomo yao, lakini mioyo yao ina tamaa ya faida isiyo halali.
Amos 8:4Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji, 2 na kuwaonea maskini wa nchi,
Micah 2:8Siku hizi watu wangu wameinuka 2 kama adui. 1 Unawavua joho la kitajiri wale wanaopita 2 pasipo kujali, 2 kama watu warudio kutoka vitani. 1
Matthew 11:22Lakini nawaambia, itakuwa rahisi zaidi kwa Tiro na Sidoni kustahimili katika siku ya hukumu, kuliko ninyi.
Matthew 23:14Ole wenu walimu wa sheria na Mafarisayo, enyi wanafiki! Mnakula katika nyumba za wajane, nanyi kwa kujifanya kuwa wema, mnasali sala ndefu. Kwa hiyo hukumu yenu itakuwa kuu zaidi.]