Luke 22:46
Naye akawauliza, “Mbona mmelala? Amkeni, mwombe ili msije mkaingia majaribuni.” 1 Yesu Akamatwa (Mathayo 26:47-56; Marko 14:43-50; Yohana 18:3-11)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And said unto them, Why sleep ye? rise and pray, lest ye enter into temptation.
In Context
45Baada ya kuomba, akawarudia wanafunzi wake akawakuta wamelala, wakiwa wamechoka kutokana na huzuni.
Cross References
Jonah 1:6Nahodha akamwendea na kusema, “Wewe unawezaje kulala? Amka ukamwite mungu wako! Huenda akatuangalia, tusiangamie.”
Luke 22:40Walipofika huko, akawaambia wanafunzi wake, “Ombeni, msije mkaingia majaribuni.”