Luka 23:12
Siku hiyo, Herode na Pilato wakawa marafiki; kabla ya jambo hili walikuwa na uadui kati yao. 1 Yesu Ahukumiwa Kifo (Mathayo 27:15-26; Marko 15:6-15; Yohana 18:39–19:16)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13Basi Pilato akawaita pamoja viongozi wa makuhani, viongozi wengine na watu,
Cross References
Psalms 83:4Wanasema, “Njooni, tuwaangamize kama taifa, 2 ili jina la Israeli lisikumbukwe tena.” 1
Acts 4:27Ni kweli Herode na Pontio Pilato pamoja na watu wa Mataifa na Waisraeli, walikusanyika katika mji huu dhidi ya mwanao mtakatifu Yesu uliyemtia mafuta.