The Bible Software
bible.software › Luka › Luka 23 › Luka 23:24

Luka 23:24

Kwa hiyo Pilato akatoa hukumu kwamba madai yao yatimizwe.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Pilate gave sentence that it should be as they required.

In Context

23Lakini watu wakazidi kupiga kelele kwa nguvu zaidi, wakidai kwamba Yesu asulubiwe. Hivyo, kelele zao zikashinda.

25Akamfungua yule mtu aliyekuwa amefungwa gerezani kwa kuhusika katika uasi dhidi ya serikali na mauaji. Akamkabidhi Yesu mikononi mwao, wamfanyie watakavyo. 1 Kusulubiwa Kwa Yesu (Mathayo 27:32-44; Marko 15:21-32; Yohana 19:17-27)

Read all of Luka 23

Cross References

Proverbs 17:15Yeye asemaye kuwa asiye na haki ana haki, 2 naye asemaye kuwa mwenye haki hana haki: 2 Bwana huwachukia sana wote wawili. 1

Mark 15:15Pilato, akitaka kuuridhisha ule umati wa watu, akawafungulia Baraba. Naye baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe. 1 Askari Wamdhihaki Yesu (Mathayo 27:27-31; Yohana 19:2-3)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 23:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 23:23Luka 23Luka 23:25 →