Luke 23:35
Watu wakasimama hapo wakimwangalia, nao viongozi wa Wayahudi wakamdhihaki wakisema, “Aliokoa wengine! Ajiokoe mwenyewe basi, kama yeye ndiye Kristo wa Mungu, Mteule wake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Yesu akasema, “Baba, wasamehe, kwa maana hawajui walitendalo!” Wakagawana nguo zake kwa kupiga kura.
36Askari nao wakaja, wakamdhihaki. Wakamletea siki ili anywe,
Cross References
Genesis 37:19Wakaambiana, “Yule mwota ndoto anakuja!
Psalms 22:6Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, 2 wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau. 1
Psalms 22:17Naweza kuhesabu mifupa yangu yote, 2 watu wananikodolea macho na kunisimanga. 1
Psalms 35:19Usiwaache wale wanaonisimanga, 2 wale ambao ni adui zangu bila sababu; 1 usiwaache wale ambao ni adui zangu bila sababu 2 wakonyeze jicho kwa hila. 1
Psalms 69:26Kwa kuwa wanawatesa wale uliowajeruhi, 2 na kuzungumza juu ya maumivu ya wale uliowaumiza. 1
Isaiah 42:1“Huyu hapa mtumishi wangu, ninayemtegemeza, 2 mteule wangu, ambaye ninapendezwa naye; 1 nitaweka Roho yangu juu yake, 2 naye ataleta haki kwa mataifa. 1