Luke 23:37
na wakamwambia, “Kama wewe ni Mfalme wa Wayahudi, jiokoe mwenyewe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And saying, If thou be the king of the Jews, save thyself.
In Context
36Askari nao wakaja, wakamdhihaki. Wakamletea siki ili anywe,
Cross References
Mark 15:26Tangazo likaandikwa la mashtaka dhidi yake lenye maneno haya: “ Mfalme wa Wayahudi.”