The Bible Software
bible.software › Luka › Luka 24 › Luka 24:50

Luka 24:50

Akiisha kuwaongoza mpaka kwenye viunga vya Bethania, akainua mikono yake juu na kuwabariki.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he led them out as far as to Bethany, and he lifted up his hands, and blessed them.

In Context

49“Tazama nitawatumia ahadi ya Baba yangu; lakini kaeni humu mjini hadi mtakapovikwa uwezo utokao juu.” 1 Kupaa Kwa Yesu Mbinguni (Marko 16:19-20; Matendo 1:9-11)

51Alipokuwa anawabariki, akawaacha, akachukuliwa mbinguni.

Read all of Luka 24

Cross References

Genesis 14:18Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu alipoleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana.

Genesis 48:9Yosefu akamjibu baba yake, “Hawa ni wana ambao Mungu amenipa nikiwa huku.” Ndipo Israeli akasema, “Walete kwangu ili niwabariki.”

Numbers 6:23“Mwambie Aroni na wanawe, ‘Hivi ndivyo mtakavyowabariki Waisraeli. Waambieni: 1

Mark 10:16Akawachukua watoto mikononi mwake, akawakumbatia, akaweka mikono yake juu yao, akawabariki. 1 Kijana Tajiri (Mathayo 19:16-30; Luka 18:18-30)

Acts 1:12Ndipo waliporudi Yerusalemu kutoka Mlima wa Mizeituni, uliokuwa karibu na Yerusalemu, umbali wa mwendo wa Sabato + 1:12 Mwendo wa Sabato hapa ina maana umbali wa mita 1,100. kutoka mjini.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 24:50

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 24:49Luka 24Luka 24:51 →