Luka 3:12
Watoza ushuru nao wakaja ili wabatizwe, wakamuuliza, “Bwana na sisi inatupasa tufanyeje?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then came also publicans to be baptized, and said unto him, Master, what shall we do?
In Context
13Akawaambia, “Msichukue zaidi ya kiwango mlichopangiwa.”
Cross References
Matthew 21:31“Ni yupi kati yao hao wawili aliyetimiza kile alichotaka baba yake?” Wakamjibu, “Ni yule wa kwanza.” Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanawatangulia kuingia katika Ufalme wa Mungu.
Luke 15:1Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Yesu.