The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 3 › Luke 3:32

Luke 3:32

Daudi alikuwa mwana wa Yese, 1 Yese alikuwa mwana wa Obedi, 1 Obedi alikuwa mwana wa Boazi, 1 Boazi alikuwa mwana wa Salmoni, 1 Salmoni alikuwa mwana wa Nashoni, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Which was the son of Jesse, which was the son of Obed, which was the son of Booz, which was the son of Salmon, which was the son of Naasson,

In Context

31Melea alikuwa mwana wa Mena, 1 Mena alikuwa mwana wa Matatha, 1 Matatha alikuwa mwana wa Nathani, 1 Nathani alikuwa mwana wa Daudi, 1

33Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu, 1 Aminadabu alikuwa mwana wa Aramu, 1 Aramu alikuwa mwana wa Hesroni, 1 Hesroni alikuwa mwana wa Peresi, 1 Peresi alikuwa mwana wa Yuda, 1

Read all of Luke 3

Cross References

Numbers 1:7kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu; 1

Numbers 7:12Yule ambaye alileta sadaka yake siku ya kwanza alikuwa Nashoni, mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda.

1 Samuel 17:58Sauli akamuuliza, “Kijana, wewe ni mwana wa nani?” Daudi akasema, “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese wa Bethlehemu.”

1 Kings 12:16Israeli wote walipoona kuwa mfalme amekataa kuwasikiliza, wakamjibu mfalme: 1 “Tuna fungu gani kwa Daudi? 2 Sisi hatuna urithi kwa mwana wa Yese. 1 Nendeni kwenye mahema yenu, ee Israeli! 2 Angalia nyumba yako mwenyewe, ee Daudi!” Hivyo Waisraeli wakaenda kwenye mahema yao.

1 Chronicles 2:12Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese. 1

Isaiah 11:1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, 2 kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 3:32

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 3:31Luke 3Luke 3:33 →