The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 3 › Luke 3:38

Luke 3:38

Kenani alikuwa mwana wa Enoshi, 1 Enoshi alikuwa mwana wa Sethi, 1 Sethi alikuwa mwana wa Adamu, 1 Adamu alikuwa mwana wa Mungu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Which was the son of Enos, which was the son of Seth, which was the son of Adam, which was the son of God.

In Context

37Lameki alikuwa mwana wa Methusela, 1 Methusela alikuwa mwana wa Enoki, 1 Enoki alikuwa mwana wa Yaredi, 1 Yaredi alikuwa mwana wa Mahalaleli, 1 Mahalaleli alikuwa mwana wa Kenani, 1

Read all of Luke 3

Cross References

Genesis 2:7Bwana Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi + 2:7 Neno la Kiebrania la mavumbi ya ardhi ndilo kiini cha jina Adamu. ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.

Isaiah 64:8Lakini, Ee Bwana, wewe ndiwe Baba yetu. 2 Sisi ni udongo, wewe ndiye mfinyanzi; 2 sisi sote tu kazi ya mkono wako. 1

1 Corinthians 15:45Kwa hiyo imeandikwa, “Mtu wa kwanza Adamu alifanyika kiumbe hai”; Adamu wa mwisho, yeye ni roho iletayo uzima.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 3:38

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 3:37Luke 3