Luke 4:10
kwa maana imeandikwa: 1 “ ‘Atakuagizia malaika zake 2 ili wakulinde; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For it is written, He shall give his angels charge over thee, to keep thee:
In Context
11nao watakuchukua mikononi mwao, 2 usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’ ”
Cross References
Psalms 91:11Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako, 2 wakulinde katika njia zako zote. 1
Luke 4:8Yesu akamjibu, “Imeandikwa: ‘Mwabudu Bwana Mungu wako na umtumikie yeye peke yake.’ ”
Hebrews 1:14Je, malaika wote si roho watumikao, waliotumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?