Luke 4:3
Ibilisi akamwambia, “Ikiwa wewe ni Mwana wa Mungu, amuru jiwe hili liwe mkate.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the devil said unto him, If thou be the Son of God, command this stone that it be made bread.
In Context
4Yesu akajibu akamwambia, “Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu.’ ”
Cross References
Luke 3:22Roho Mtakatifu akashuka juu yake kwa umbo kama la hua, nayo sauti kutoka mbinguni ikasema: “Wewe ni Mwanangu mpendwa; nami nimependezwa nawe sana.” 1 Ukoo Wa Bwana Yesu (Mathayo 1:1-17)