bible.software › Luke › Luke 5 › Luke 5:2
Luke 5:2
akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa, zikiwa zimeachwa hapo na wavuvi waliokuwa wanaosha nyavu zao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And saw two ships standing by the lake: but the fishermen were gone out of them, and were washing their nets.
In Context
1Siku moja Yesu alipokuwa amesimama karibu na Ziwa la Genesareti, + 5:1 Yaani Bahari ya Galilaya. watu wengi wakiwa wanasongana kumzunguka ili wapate kusikia neno la Mungu,
3Akaingia katika mojawapo ya hizo mashua ambayo ilikuwa ya Simoni, akamwomba aisogeze ndani ya maji kidogo kutoka ufuoni. Kisha akaketi na kufundisha watu akiwa mle ndani ya mashua.
Read all of Luke 5
Cross References
Mark 1:19Alipokwenda mbele kidogo, akamwona Yakobo mwana wa Zebedayo na Yohana nduguye, wakiwa kwenye mashua yao wakizitengeneza nyavu zao.
This Verse In Other Editions
Study Luke 5:2