Luke 5:25
Mara yule mtu aliyekuwa amepooza akasimama mbele yao wote, akachukua mkeka wake, akaenda zake nyumbani, huku akimtukuza Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 1:3Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo.
Psalms 50:23Atoaye dhabihu za shukrani ananiheshimu mimi, 2 naye aiandaa njia yake 2 ili nimwonyeshe wokovu wa Mungu.”
Psalms 107:20Akalituma neno lake na kuwaponya, 2 akawaokoa kutoka maangamizo yao. 1
Luke 13:13Yesu alipomwekea mikono yake, mara akasimama wima akaanza kumtukuza Mungu.
Luke 18:43Akapata kuona saa ile ile, akamfuata Yesu, huku akimsifu Mungu. Watu wote walipoona mambo hayo, nao wakamsifu Mungu.