Luke 5:39
Wala hakuna mtu anayependelea divai mpya baada ya kunywa divai ya zamani, bali husema, ‘Ile ya zamani ni nzuri zaidi.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
No man also having drunk old wine straightway desireth new: for he saith, The old is better.
In Context
38Divai mpya lazima iwekwe kwenye viriba vipya.
Cross References
Mark 7:7Huniabudu bure, 2 nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’
Hebrews 11:1Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, na udhahiri wa mambo yasiyoonekana.