The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 6 › Luke 6:20

Luke 6:20

Akawatazama wanafunzi wake, akasema: 1 “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini, 2 kwa sababu Ufalme wa Mungu ni wenu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he lifted up his eyes on his disciples, and said, Blessed be ye poor: for yours is the kingdom of God.

In Context

19Watu wote walikuwa wanajitahidi kumgusa kwa sababu nguvu zilikuwa zikimtoka na kuwaponya wote. 1 Baraka Na Ole (Mathayo 5:1-12)

21Mmebarikiwa ninyi mlio na njaa sasa, 2 kwa sababu mtashibishwa. 1 Mmebarikiwa ninyi mnaolia sasa, 2 kwa sababu mtacheka. 1

Read all of Luke 6

Cross References

1 Samuel 2:8Humwinua maskini kutoka mavumbini 2 na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; 1 huwaketisha pamoja na wakuu 2 na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. 1 “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; 2 juu yake ameuweka ulimwengu. 1

Psalms 113:7Huwainua maskini kutoka mavumbini, 2 na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 1

Proverbs 19:1Afadhali mtu maskini ambaye mwenendo wake hauna lawama, 2 kuliko mpumbavu ambaye midomo yake imepotoka. 1

Isaiah 57:15Kwa maana hili ndilo asemalo Aliye juu, yeye aliyeinuliwa sana, 2 yeye aishiye milele, ambaye jina lake ni Mtakatifu: 1 “Ninaishi mimi mahali palipoinuka na patakatifu, 1 lakini pia pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu 2 na mwenye roho ya unyenyekevu, 1 ili kuzihuisha roho za wanyenyekevu 2 na kuihuisha mioyo yao waliotubu. 1

Zephaniah 3:12Lakini nitakuachia ndani yako 2 wapole na wanyenyekevu, 2 ambao wanatumaini jina la Bwana. 1

Matthew 5:2Ndipo akaanza kuwafundisha, akisema: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 6:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 6:19Luke 6Luke 6:21 →