Luke 6:27
“Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I say unto you which hear, Love your enemies, do good to them which hate you,
In Context
28Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya.
Cross References
Exodus 23:4“Kama ukikutana na maksai au punda wa adui yako anapotea, hakikisha umemrudisha kwake.
Psalms 7:4au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami, 2 au nimemnyangʼanya adui yangu pasipo sababu, 1
Proverbs 25:2Ni Utukufu wa Mungu kuficha jambo, 2 bali ni utukufu wa wafalme kuchunguza jambo. 1
Matthew 5:43“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Mpende jirani yako na umchukie adui yako.’
Luke 6:22Mmebarikiwa ninyi, watu watakapowachukia, 2 watakapowatenga na kuwatukana 1 na kulikataa jina lenu kama neno ovu, 2 kwa ajili ya Mwana wa Adamu.
Luke 8:8Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri. Zikaota na kuzaa mara mia moja zaidi ya mbegu alizopanda.” Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti, akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”