Luke 7:10
Nao wale watu waliokuwa wametumwa kwa Yesu waliporudi nyumbani walimkuta yule mtumishi amepona. 1 Yesu Amfufua Mwana Wa Mjane
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they that were sent, returning to the house, found the servant whole that had been sick.
In Context
Cross References
Matthew 15:28Ndipo Yesu akamwambia, “Mwanamke, imani yako ni kubwa! Iwe kwako kama unavyotaka.” Naye binti yake akapona tangu saa ile. 1 Yesu Aponya Watu Wengi
John 4:50Yesu akamjibu, “Enenda zako, mwanao yu hai.” Yule afisa akaamini yale maneno Yesu aliyomwambia, akaondoka akaenda zake.