Luke 7:5
kwa sababu analipenda taifa letu tena ametujengea sinagogi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he loveth our nation, and he hath built us a synagogue.
In Context
Cross References
1 Kings 5:1Hiramu mfalme wa Tiro aliposikia kuwa Solomoni ametiwa mafuta awe mfalme mahali pa Daudi baba yake, akatuma wajumbe kwa Solomoni, kwa sababu Hiramu siku zote alikuwa na uhusiano mzuri wa kirafiki na Daudi.
2 Chronicles 2:11Ndipo Hiramu mfalme wa Tiro akamjibu Solomoni kwa barua: “Kwa sababu Bwana anawapenda watu wake, amekufanya wewe kuwa mfalme wao.”
Galatians 5:6Kwa maana ndani ya Kristo Yesu, kutahiriwa au kutokutahiriwa hakuleti tofauti, bali lililo muhimu ni imani itendayo kazi kwa njia ya upendo.
1 John 3:18Watoto wapendwa, tusipende kwa maneno au kwa ulimi bali kwa tendo na kweli.