The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 8 › Luke 8:30

Luke 8:30

Yesu akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Legioni,” + 8:30 Legioni maana yake ni Jeshi. kwa kuwa alikuwa ameingiwa na pepo wachafu wengi mno.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Jesus asked him, saying, What is thy name? And he said, Legion: because many devils were entered into him.

In Context

29Wakati huo Yesu alikuwa amemwamuru yule pepo mchafu amtoke huyo mtu. Mara nyingi huyo pepo mchafu alimpagaa, na hata alipofungwa kwa minyororo mikono na miguu na kuwekwa chini ya ulinzi, alikata hiyo minyororo na kupelekwa na huyo pepo mchafu kwenda nyikani.

31Wale pepo wachafu wakamsihi sana asiwaamuru kwenda katika Shimo. + 8:31 Shimo hapa ina maana Abyss (shimo lisilo na mwisho), yaani Kuzimu; kwa Kiebrania ni Sheol.

Read all of Luke 8

Cross References

Matthew 8:29Wakapiga kelele, “Una nini nasi, Mwana wa Mungu? Umekuja hapa kututesa kabla ya wakati ulioamriwa?”

Mark 5:9Yesu akamuuliza, “Jina lako ni nani?” Akamjibu, “Jina langu ni Legioni, + 5:9 Legioni maana yake ni Jeshi. kwa kuwa tuko wengi.”

Luke 8:2pia baadhi ya wanawake waliokuwa wametolewa pepo wachafu na kuponywa magonjwa. Miongoni mwao alikuwepo Maria Magdalene, aliyetolewa pepo wachafu saba;

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 8:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 8:29Luke 8Luke 8:31 →