Luke 8:38
Yule mtu aliyetokwa na pepo wachafu akamsihi Yesu afuatane naye, lakini Yesu akamuaga, akamwambia:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 12:25Mtakapoingia katika nchi Bwana atakayowapa kama alivyoahidi, shikeni desturi hii.
Exodus 13:14“Katika siku zijazo, mwanao akikuuliza, ‘Hii ina maana gani?’ Mwambie, ‘Kwa mkono wenye nguvu Bwana alitutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Psalms 27:4Jambo moja ninamwomba Bwana, 2 hili ndilo ninalolitafuta: 1 niweze kukaa nyumbani mwa Bwana 2 siku zote za maisha yangu, 1 niutazame uzuri wa Bwana 2 na kumtafuta hekaluni mwake. 1
Psalms 71:17Ee Mungu, umenifundisha tangu ujana wangu, 2 hadi leo ninatangaza matendo yako ya ajabu. 1
Psalms 107:21Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, 2 na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. 1
Psalms 111:2Kazi za Bwana ni kuu, 2 wote wanaopendezwa nazo huzitafakari. 1